technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
"Don't out shine ur master " kuna MTU ame break hii rule .Bado tunaumiza vichwa "jitu" ni nani? π
Yule wa northBado tunaumiza vichwa "jitu" ni nani? π
Wiki moja tu tushapigwa msamiati "kiumbe" na "jitu".Bado tunaumiza vichwa "jitu" ni nani? π
Dodoma nasikia kuna baridi Kali hivyo Whisky muhimuWiki moja tu tushapigwa msamiati "kiumbe" na "jitu".
Ila Samia ana frustrations sana.
Nasikia anapiga whisky kama hana akili nzuri.
Jitu anaongelewa Mulamula na Dr manyweleBado tunaumiza vichwa "jitu" ni nani? π
Na Wakenya wakaongezea Idd mama.Wiki moja tu tushapigwa msamiati "kiumbe" na "jitu".
Ila Samia ana frustrations sana.
Nasikia anapiga whisky kama hana akili nzuri.
Anaetaka kuingia ikulu kwa fitina. Huyu mama afyatue watu ijulikane moja. Kuendelea kuwadekeza watamkwaruza mgongo bila yeye kuwakwaruza.Bado tunaumiza vichwa "jitu" ni nani? π
Hapana mkuu Mulamula sio anaeongelewa zungusha dish vizuri utapata signalJitu anaongelewa Mulamula na Dr manywele
Kwamba ndo kapiga picha nyaraka? Hajawa mzalendo kwa kutoa siri π"Don't out shine ur master " kuna MTU ame break hii rule .
Na mbaya zaidi ni mwanamke mwenzake
Sio mzigo ukizingatia misingi ya uongozi na utawala bora kwa dhati. Kutokudhulumu haki ya mtu kwa namna yeyote ile.ikulu ni mzigo- JK NYERERE
Too late hata akifyatua jamaa wako na plan zaidi ya moja.Anaetaka kuingia ikulu kwa fitina. Huyu mama afyatue watu ijulikane moja. Kuendelea kuwadekeza watamkwaruza mgongo bila yeye kuwakwaruza.
Wanadai ni LucasBado tunaumiza vichwa "jitu" ni nani? π
Dah hapo umetuonea wapiga kimea bro.Wiki moja tu tushapigwa msamiati "kiumbe" na "jitu".
Ila Samia ana frustrations sana.
Nasikia anapiga whisky kama hana akili nzuri.
πKwamba ndo kapiga picha nyaraka? Hajawa mzalendo kwa kutoa siri π