Ni rasmi sasa Yanga yapokelewa huko CAS, mbivu na mbichi kujulikana

Ni rasmi sasa Yanga yapokelewa huko CAS, mbivu na mbichi kujulikana

Mimi ni Yanga Ila wakati mwingine tunaonekena hatuna akili kutokana na watu aina ya mleta mada. Mimi nilifikiri unaleta labda link ya huko CAS kumbe ni mtu tu kajirekodi unatuleta hapa. MNATUDHALILISHA
Nilifikiri/Labda = Dhahania/vitu ulivyokuwa huna uhakika navyo kuwepo kiuhalisia, neno moja tu kati yao linajitosheleza kabisa kueleza ulichokuwa unakusudia.
Unatuleta ❌
Unatuletea ✅

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Vyovyote iwavyo na maamuzi yoyote yaje hata kama ni kushindwa Yanga ila hili ni fundisho kubwa kwa kolowizard na tff hakuna kuleta uhuni tena siku ingine, yaani simba kushindwa kuroga uwanja, kuwa na majeruhi na viongozi kukwepa kutimuliwa baada ya kupokea kichapo cha tano ndo simba ikimbie mechi hilo halikubaliki. Yanga tungemfunga Simba na kutangaza ubingwa march 8. Watu wamepoteza pesa zao kusafiri kuja Dar, watu wamelipia tickets pesa zimepotea maana wengi hawatakuja tena kuona hiyo mechi iwapo itarudiwa. Huu ni wizi.

Wanayanga tunaupongeza uongozi wa Eng Hersi kwa kupeleka kesi CAS hatujali maamuzi ya CAS hata tukishindwa kesi poa tu ila sindano ishawaingia kolowizard na tff hilo ni muhimu sana kupeleka mbele projects za Yanga, tff watapunguza nguvu ya kulazimisha simba mbovu kuchukua taji la NBC premier league hasa kupitia maamuzi mabovu ya marefa wasio na aibu, mechi haiishi hadi kolo washinde
 
Back
Top Bottom