Na kuangalia nyuma unavyopita tu... ukipata muda pita tena bwanaNapita
Mh!Na kuangalia nyuma unavyopita tu... ukipata muda pita tena bwana
Eeeh
Kweli mkuu, nilishapata confession moja toka dada mmoja jirani.Naskia ....wadada na wanawake nao wanaangalia sana pale chini kama pametuna, watakua wanajpendekeza sana kwako ila kama tabia zako ni flat flat....watakuona normallkk
[emoji47] na wewe...mtikisiko mkuu hata mi huwa naangalia sana tu
Sheer illusion.... Life is full of vanity, and foolishly chasing the wind.Habarini,
Hii kitu kwa kweli nashindwa elewa ni ya kibayolojia au ni kujiendekeza. Kila mwanamke atakayepita ni lazima akishapita tutageuka kuangalia mzigo eidha moja kwa moja au kwa kujificha.
Nipo moroko kituo cha mwendokasi nimeketi nikisubiri usafiri na watu wa aina tofauti wanapitapita na nimejaribu kujiambia ngoja nisiangalie makalio ya wanawake wanaopita.
Nafsi haitaki ila macho yanataka, na mwisho wa siku macho yanashinda vita.
Hatari sana.
Wanawake, mnatakiwa mjue kuwa kila unapopita na kupishana na mwanaume, asilimia kubwa ya wanaume watakuangalia makalio yako baada ya wewe kupita.
Ha ha ha nasema kweli mnanishangaa[emoji47] na wewe...
Miss chagga, unanitia wasiwasi sana. Nipo hapa nakusubiri...mtikisiko mkuu hata mi huwa naangalia sana tu
Duh nipo njiani we tangulia me nitakujaMiss chagga, unanitia wasiwasi sana. Nipo hapa nakusubiri...
Wasiwasi sana wewe unaanzaje kizamani makalio ya mtu wa jinsia yako...?Duh nipo njiani we tangulia me nitakuja
Si tamani naangalia tuWasiwasi sana wewe unaanzaje kizamani makalio ya mtu wa jinsia yako...?
Kabisa huwa nawaonaHii Kitu Ukiiona Razma Usisimke Kama Umekamilika
[emoji15] [emoji15]Kabisa huwa nawaona
[emoji23] [emoji23] ndiyo[emoji15] [emoji15]
Miss are you serious