Ni sababu gani inatufanya wanaume tushindwe kujizuia kuangalia makalio ya wanawake?

Ni sababu gani inatufanya wanaume tushindwe kujizuia kuangalia makalio ya wanawake?

Naskia ....wadada na wanawake nao wanaangalia sana pale chini kama pametuna, watakua wanajpendekeza sana kwako ila kama tabia zako ni flat flat....watakuona normallkk
Kweli mkuu, nilishapata confession moja toka dada mmoja jirani.
 
Habarini,
Hii kitu kwa kweli nashindwa elewa ni ya kibayolojia au ni kujiendekeza. Kila mwanamke atakayepita ni lazima akishapita tutageuka kuangalia mzigo eidha moja kwa moja au kwa kujificha.
Nipo moroko kituo cha mwendokasi nimeketi nikisubiri usafiri na watu wa aina tofauti wanapitapita na nimejaribu kujiambia ngoja nisiangalie makalio ya wanawake wanaopita.
Nafsi haitaki ila macho yanataka, na mwisho wa siku macho yanashinda vita.
Hatari sana.
Wanawake, mnatakiwa mjue kuwa kila unapopita na kupishana na mwanaume, asilimia kubwa ya wanaume watakuangalia makalio yako baada ya wewe kupita.
Sheer illusion.... Life is full of vanity, and foolishly chasing the wind.
 
Mimi huwa nashindwa kujizuia hata kama niko na watu. Naangalia tu. Lakini siyo wote. Wanawake wembamba wasio na mizigo siwaangaliii nawapita kama bajaj
 
Back
Top Bottom