Ni sababu gani inatufanya wanaume tushindwe kujizuia kuangalia makalio ya wanawake?

Mimi ni mwanaume....nikiona tu nawaza namna natakavyokuwa namkunja in case nimempata.....so many sex styles come to my mind
 
Mimi huwa nashindwa kujizuia hata kama niko na watu. Naangalia tu. Lakini siyo wote. Wanawake wembamba wasio na mizigo siwaangaliii nawapita kama bajaj
Au wale wanawake wanajifanya Tom boy me saiangaliagi
 
Mzee achana na ile kituu, wenyewe kwa wenyewe tu nao wanaangaliana sembuse sisi
 
Huwa tunawaangalia sababu wanayakalia vizur
 
Macho ya wanaume ndio mlango mkuu wa tamaa,ndio maana wenzetu wanatumia udhaifu huo kutudaka/kutunasa.
Wenzetu wana wake ni tofauti kwani masikio yao ndio mlango wa tamaa,ndio maana wanapenda kusikiliza sana kuliko kuona.
 
Zigo la kuvunja chaga, ni muhimu kuliangalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…