ommy shedafa
Member
- May 29, 2017
- 17
- 7
Waiting for their comments...Naskia ....wadada na wanawake nao wanaangalia sana pale chini kama pametuna, watakua wanajpendekeza sana kwako ila kama tabia zako ni flat flat....watakuona normallkk
Mtoto cheupe, ng'ombe 10 ni zakuja kuchukua tu.Kwa mustakabali huo ngoja nikamnunulie mkorogo nimbabue mi mwenyewe...
Ng'ombe kumi si haba...
Kwa kawaida mmeumbwa na tamaaMi nahisi macho hayana pazia pengi ndo mana unashindwa kujizuia.
Ndomana wahenga walishasema, "usione vyaelea ujue vimeundwa" kweli wahenga waliona mbali!.Mi Leo nimepita maeneo Fulani nikakutana na zigo hiloo ghafla bin vuu hali ikabadilika,nikajifanya nafunga kamba za viatu.
Duuuuu! [emoji15]Naskia ....wadada na wanawake nao wanaangalia sana pale chini kama pametuna, watakua wanajpendekeza sana kwako ila kama tabia zako ni flat flat....watakuona normallkk
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na akiwa hana mshunda mnawazaga aje?weeee chezea big mshunda wew lazima ugeuke
nnataka ni design kofia mpya zenye side-mirror ili wanaume tusipate shida maana kuna maeneo mengine ukipita hadi jioni shingo inauma
[emoji38][emoji38] hua nnakumbuka msemo wa wahenga (hana mbele wala nyuma)[emoji23] [emoji23] [emoji23] na akiwa hana mshunda mnawazaga aje?
[emoji23] [emoji18][emoji38][emoji38] hua nnakumbuka msemo wa wahenga (hana mbele wala nyuma)
[emoji1]Ndomana wahenga walishasema, "usione vyaelea ujue vimeundwa" kweli wahenga waliona mbali!.
Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app