Ni sababu gani inatufanya wanaume tushindwe kujizuia kuangalia makalio ya wanawake?

Ni sababu gani inatufanya wanaume tushindwe kujizuia kuangalia makalio ya wanawake?

Kinachoshangaza zaidi wala wengine hatuna shida kabisa na 0713, na hata wakati wa kazi hatuna shughuli nayo tunadili na kapart kadogo tuu! Sijui hii ikoje!!
 
Dah kalio noma, manzi angu nikiwa sina usingizi siku kaja kejo namwambia anigeuzie kalio tu nibambie usingizi unakuja kama nimechomwa sindano ya anesthesia
 
263dc4dd5e88044cb0e3be558e78c4bd.jpg
 
sio sisi wanaume tu.hata wao wanawake wanayangalia makalio ya wanawake wenzao.
kuna siku nilikuwa shopping moja hivi amazing sasa katika ta duka hadi duka nikafika duka moja .kuna mdada anauza sema yeye alikuwa kama ubao kapigwa pasi .sasa wakati nachagua chagua ktk lile duka la yule mdada si akapita dada mwengine yule Sijui alikuwa masogange sijui alikuwa wema sepenga sijui alikuwa chura wa maaana yule dada dukani akadokoa mimacho kama vile kabanwwa na mlango wa gari mpya .sasa hapo sasa na mm nikamuuliza unaangalia nini lule nje mpk ukaniacha mm mteja hapa dukani.si na.mm nikajipa ujasiri ile kucheki tu....bana eeeee .Mungu anaumba.
 
Mi Leo nimepita maeneo Fulani nikakutana na zigo hiloo ghafla bin vuu hali ikabadilika,nikajifanya nafunga kamba za viatu.
 
weeee chezea big mshunda wew lazima ugeuke

nnataka ni design kofia mpya zenye side-mirror ili wanaume tusipate shida maana kuna maeneo mengine ukipita hadi jioni shingo inauma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na akiwa hana mshunda mnawazaga aje?
 
Wahenga walisema "Heri nusu shari kuliko shari kamili".

Wahenga wenzao wakawaitikia "Half a bread is better than nothing".

Za kuambiwa changanya na zako.
 
Back
Top Bottom