Sina hakika na hilo la Cjifu Buthelezi kuwa kibaraka wa wazungu, lakini nina uhakika wa 100% ni Mandera ndio aliyefanikisha kuleta uchaguzi huru.
Mandela alikuwa anafanya vikao vya siri na Rais Frederick De cleck akiwa jels, alikuwa akichukuliwa jela na helicopter kwa siri kupelekwa ikulu kufanya kikao na Rais kwa miaka kadhaa.
Mandela ilikuwa aachiwe huru kitambo ila aliweka msimamo thabiti juu ya kuachiwa kwake, nadhani moja ya makubaliano alikubali akiwa Rais hatowanyang'anya ardhi wazungu na hili ndilo kosa kubwa amelifanya Robert Mugabe.
Zimbabwe ilikuwa ni nchi imepiga hatua sana.