Ni sababu gani zilipelekea chama cha TANU kubadili jina mwaka 1977?

Wewe unajuwa lipi? Tanganyika na Zanzibar vilizaa Tanzania, vivyo hivyo Tanu na ASP ndio vimezaa CCM.
Huyo nimeona ana ushabiki wa ki-BAVICHA ndo maana nikaamua kumuacha kwanza akili ikae sawa.
 
Huyu Mangesuthu Bhuthelezi si ndiye alikuwa puppet wa Makaburu na alichangia sana kupatikana kwa uchaguzi wa wote Afrika ya Kusini
Sina hakika na hilo la Cjifu Buthelezi kuwa kibaraka wa wazungu, lakini nina uhakika wa 100% ni Mandera ndio aliyefanikisha kuleta uchaguzi huru.

Mandela alikuwa anafanya vikao vya siri na Rais Frederick De cleck akiwa jels, alikuwa akichukuliwa jela na helicopter kwa siri kupelekwa ikulu kufanya kikao na Rais kwa miaka kadhaa.

Mandela ilikuwa aachiwe huru kitambo ila aliweka msimamo thabiti juu ya kuachiwa kwake, nadhani moja ya makubaliano alikubali akiwa Rais hatowanyang'anya ardhi wazungu na hili ndilo kosa kubwa amelifanya Robert Mugabe.

Zimbabwe ilikuwa ni nchi imepiga hatua sana.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…