Kwahiyo kumbe wanakuwa wanajihisi kama wako kwenye moviesMtu akiangalia sinema za wazungu anataka aishi kama kwenye sinema.
Hapana wanajihisi wako mamtoni huko kumbe hata zile sinema hawajui kuwa ni maigizo tu sio uhalisia.Kwahiyo kumbe wanakuwa wanajihisi kama wako kwenye movies
Yawezekana Center of Gravity huwa inabadisha anglenimejaribu kufanya utafiti kimya kimya sababu za hawa mabwana kutembea kama mtu aliyejinyea lakini mpaka sasa niko 0-0
labda kwa anaefahamu ajaribu kutiririka hapo chini
Cha ajabu kuna wakinadada huwaelezi kitu na hao jamaa, yaani ukija wewe na shati lako la kuchomekea anakuona kama muimba kwaya kanisani[emoji3]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Yaani ni sababu za kitoz..nimejaribu kufanya utafiti kimya kimya sababu za hawa mabwana kutembea kama mtu aliyejinyea lakini mpaka sasa niko 0-0
labda kwa anaefahamu ajaribu kutiririka hapo chini