Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Naomba mtusaidie sababu na utaratibu unaotumika kuweka sahihi ya Waziri na Gavana katika noti za nchi.
Je, ni sheria inataka hivyo au maamuzi ya utawala uliopo madarakani?
Je, kuna gharama kwenye zoezi hilo?
Pia soma > Tanzania yazindua Noti Mpya toleo la 2010 zenye Saini ya Waziri Mwigulu Nchemba na Gavana Emmanuel Tutuba