Basi mwambie atafute GEISHA. Wanafunzi wa boading wa enzi hizo wanaitambua😂😂😂😂 Halufu yake sasa
Imekuwa adimu sana recentlyMiaka kibao huwa natumia imperial tu naona iko sawa
Fanya unavyoweza uhame kwenu umekua sasa
tumia luxy ila bei yake sasa ndio ujishikeNi sabuni gani nzuri ya kuogea mwanaume kwa ngozi pia na yenye Harufu nzuri sana
Nawasilisha
Foma gold