Ni sabuni gani nzuri ya kuogea mwanaume

Ni sabuni gani nzuri ya kuogea mwanaume

Chagua yoyote laini, hasa ya kuogea usipendelee tu medicated soap[zenye dawa] labda kama unataka kutibu ugonjwa.
 
Kwa mwanaume mwenye kipato cha chini cha kuunga unga atumie sabuni ya magadi.....

binafsi napenda sana sabuni ya magadi....though mara moja moja natumia proteX ile ya South Africa....bado sijajaribu shower gel coz nasikia zina whitening ngozi nami napenda ngozi asilia.
 
Fangasi na kuwashwa sehemu za siri ni kawaida sana ukitumia hizo sabuni za magadi. Uzuri wake ni kwamba zinatoa povu jingi na kung'alisha ngozi.
 
Back
Top Bottom