Hilo gazeti wakate rufaa, wasikae kindezi wakati linaandika ukweli. Lirudi mitaani haraka sio mpaka miezi sita lije mwakani. Linaandikaga ukweli, sijui kwa nini huwa wanalifungia mara kwa mara. Haya magazeti mengine ya kina Balile ni ya kichawa na kipropaganda, tulishaacha kuyasoma. Mwanahalisi ndiyo gazeti pekee lenye kuchimba zaidi mitifuano ya kisiasa bila woga