Ni sahihi Kabisa Mawaziri kusema Kila Kitu Cha Maendeleo kinafanywa na Rais Samia siyo Wao Kwa sababu Rais ndiye Mamlaka Kuu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wateule wa Rais wanakopeshwa Madaraka ya usimamizi tu lakini Mamlaka yote Yako Kwa Rais wa JMT

Hivyo ni Sahihi Kabisa kila Waziri anaposimama bungeni kumsifia na kumshukuru Rais Kwa kazi njema zilizofanywa wizarani

Dr Elly ametoa somo zuri sana kuhusu tofauti ya Mamlaka na Madaraka na amesema hata nyumbani Baba ndiye Mwenye Mamlaka na mama ana Madaraka Ndio kusema Mawaziri wanaplay role ya Umama

Credit: Chomoza ya Clouds tv

Nawatakieni Dominica njema 😄
 
Sawa, ila pia abebeshwe mzigo wa Mabaya yanapofanyika.
 
Utukufu wote apewe Mtukufu rais Moi.
Tanzania tuna absolute mornach mwenye jina la Rais kwa katiba tuliyonayo.Uchaguzi hauleti mabadiliko kwa hiyo tuna urith tu wa kiti cha urais, sema tu sio wakinasaba
 
Huo Ujinga uko CCM Tanzania! Hatujausikia Kenya,Uganda,Marekani,China,nk
Maendeleo yanaletwa na wananchi wenyewe siyo mtu mmoja.
 
Na huo ndio ukweli wenyewe kuwa maendeleo yote unayoyaona hapa Nchini yamefanywa na kuletwa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Ndio Maana watu wengi wanasubiri kwa hamu na kiu kubwa sana siku ya uchaguzi ifike ili wammiminie kura za ndio kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima kama sehemu ya kutoa shukurani zao kwa utumishi wake uliotukuka uliogusa Maisha ya wengi
 
Mamlaka yapo kwa wananchi na wateuliwa wengine akiwemo raisi wamepewa madaraka ya kuendesha serikali. Raisi akiwa kiongozi wao.
 
Wateule wa Rais wanakopeshwa Madaraka ya usimamizi tu lakini Mamlaka yote Yako Kwa Rais wa JMT

Hivyo ni Sahihi Kabisa kila Waziri anaposimama bungeni kumsifia na kumshukuru Rais Kwa kazi njema zilizofanywa wizarani

Dr Elly ametoa somo zuri sana kuhusu tofauti ya Mamlaka na Madaraka na amesema hata nyumbani Baba ndiye Mwenye Mamlaka na mama ana Madaraka Ndio kusema Mawaziri wanaplay role ya Umama

Credit: Chomoza ya Clouds tv

Nawatakieni Dominica njema [emoji1]
Kwan mzee Mgaya anasemaje????
 
Na huo ndio ukweli wenyewe kuwa maendeleo yote unayoyaona hapa Nchini yamefanywa na kuletwa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Ndio Maana watu wengi wanasubiri kwa hamu na kiu kubwa sana siku ya uchaguzi ifike ili wammiminie kura za ndio kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima kama sehemu ya kutoa shukurani zao kwa utumishi wake uliotukuka uliogusa Maisha ya wengi
Mzee wa naatu moja na mbili
 
Back
Top Bottom