Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kwamba hatujui ni sifa za kichawa? Huu upuuzi ulishaka kasi kwa kiwango cha juu chini ya utawala wa dhalimu magu.Wateule wa Rais wanakopeshwa Madaraka ya usimamizi tu lakini Mamlaka yote Yako Kwa Rais wa JMT
Hivyo ni Sahihi Kabisa kila Waziri anaposimama bungeni kumsifia na kumshukuru Rais Kwa kazi njema zilizofanywa wizarani
Dr Elly ametoa somo zuri sana kuhusu tofauti ya Mamlaka na Madaraka na amesema hata nyumbani Baba ndiye Mwenye Mamlaka na mama ana Madaraka Ndio kusema Mawaziri wanaplay role ya Umama
Credit: Chomoza ya Clouds tv
Nawatakieni Dominica njema 😄