johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Umama ni Uchawa? 🐼Ni Uchawa tu, watu wanalinda ugali wao.
Inapitishwa na Spika wa Bunge 🐼Bajeti inapitishwa na nan? Ukinijibu hili utakua umepata majibu
Wateule wa Rais wanakopeshwa Madaraka ya usimamizi tu lakini Mamlaka yote Yako Kwa Rais wa JMT
Hivyo ni Sahihi Kabisa kila Waziri anaposimama bungeni kumsifia na kumshukuru Rais Kwa kazi njema zilizofanywa wizarani
Dr Elly ametoa somo zuri sana kuhusu tofauti ya Mamlaka na Madaraka na amesema hata nyumbani Baba ndiye Mwenye Mamlaka na mama ana Madaraka Ndio kusema Mawaziri wanaplay role ya Umama
Credit: Chomoza ya Clouds tv
Nawatakieni Dominica njema 😄
Mabaya husababishwa na Uzembe wa Wasimamizi hilo liko wazi KabisaSawa, ila pia abebeshwe mzigo wa Mabaya yanapofanyika.
Mabaya husababishwa na Uzembe wa Wasimamizi hilo liko wazi Kabisa
Inapitishwa na Spika wa Bunge 🐼
Wayataje na hayo maelekezo kiushahidi na kikanuniWabaposema ni maelekezo kutoka juu ni Uzembe...!!?
Spika: Wanaoafiki WameshindaNaona akili zimekuacha peke yako
Kwan mzee Mgaya anasemaje????Wateule wa Rais wanakopeshwa Madaraka ya usimamizi tu lakini Mamlaka yote Yako Kwa Rais wa JMT
Hivyo ni Sahihi Kabisa kila Waziri anaposimama bungeni kumsifia na kumshukuru Rais Kwa kazi njema zilizofanywa wizarani
Dr Elly ametoa somo zuri sana kuhusu tofauti ya Mamlaka na Madaraka na amesema hata nyumbani Baba ndiye Mwenye Mamlaka na mama ana Madaraka Ndio kusema Mawaziri wanaplay role ya Umama
Credit: Chomoza ya Clouds tv
Nawatakieni Dominica njema [emoji1]
Mzee wa naatu moja na mbiliNa huo ndio ukweli wenyewe kuwa maendeleo yote unayoyaona hapa Nchini yamefanywa na kuletwa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Ndio Maana watu wengi wanasubiri kwa hamu na kiu kubwa sana siku ya uchaguzi ifike ili wammiminie kura za ndio kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima kama sehemu ya kutoa shukurani zao kwa utumishi wake uliotukuka uliogusa Maisha ya wengi