Kwamba hatujui ni sifa za kichawa? Huu upuuzi ulishaka kasi kwa kiwango cha juu chini ya utawala wa dhalimu magu.Wateule wa Rais wanakopeshwa Madaraka ya usimamizi tu lakini Mamlaka yote Yako Kwa Rais wa JMT
Hivyo ni Sahihi Kabisa kila Waziri anaposimama bungeni kumsifia na kumshukuru Rais Kwa kazi njema zilizofanywa wizarani
Dr Elly ametoa somo zuri sana kuhusu tofauti ya Mamlaka na Madaraka na amesema hata nyumbani Baba ndiye Mwenye Mamlaka na mama ana Madaraka Ndio kusema Mawaziri wanaplay role ya Umama
Credit: Chomoza ya Clouds tv
Nawatakieni Dominica njema π
Wateule wa Rais wanakopeshwa Madaraka ya usimamizi tu lakini Mamlaka yote Yako Kwa Rais wa JMT
Hivyo ni Sahihi Kabisa kila Waziri anaposimama bungeni kumsifia na kumshukuru Rais Kwa kazi njema zilizofanywa wizarani
Dr Elly ametoa somo zuri sana kuhusu tofauti ya Mamlaka na Madaraka na amesema hata nyumbani Baba ndiye Mwenye Mamlaka na mama ana Madaraka Ndio kusema Mawaziri wanaplay role ya Umama
Credit: Chomoza ya Clouds tv
Nawatakieni Dominica njema π
Subiri oktoba tutauliza wao wamefanya nini?Wateule wa Rais wanakopeshwa Madaraka ya usimamizi tu lakini Mamlaka yote Yako Kwa Rais wa JMT
Hivyo ni Sahihi Kabisa kila Waziri anaposimama bungeni kumsifia na kumshukuru Rais Kwa kazi njema zilizofanywa wizarani
Dr Elly ametoa somo zuri sana kuhusu tofauti ya Mamlaka na Madaraka na amesema hata nyumbani Baba ndiye Mwenye Mamlaka na mama ana Madaraka Ndio kusema Mawaziri wanaplay role ya Umama
Credit: Chomoza ya Clouds tv
Nawatakieni Dominica njema π
Wayataje na hayo maelekezo kiushahidi na kikanuni
Kodi za wavuja jasho watanzania ndyo maendeleo unayoyaona we masikini wa akili na Mali vinginevyo Bado hiyo Kodi maccm yanaiiba yananeneapa na kuvimbiana mashavuNa huo ndio ukweli wenyewe kuwa maendeleo yote unayoyaona hapa Nchini yamefanywa na kuletwa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Ndio Maana watu wengi wanasubiri kwa hamu na kiu kubwa sana siku ya uchaguzi ifike ili wammiminie kura za ndio kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima kama sehemu ya kutoa shukurani zao kwa utumishi wake uliotukuka uliogusa Maisha ya wengi
si sahihi as if rais ana POWER kama MUNGU i.e Omnipotent & OmnipresentπWateule wa Rais wanakopeshwa Madaraka ya usimamizi tu lakini Mamlaka yote Yako Kwa Rais wa JMT
Hivyo ni Sahihi Kabisa kila Waziri anaposimama bungeni kumsifia na kumshukuru Rais Kwa kazi njema zilizofanywa wizarani
Dr Elly ametoa somo zuri sana kuhusu tofauti ya Mamlaka na Madaraka na amesema hata nyumbani Baba ndiye Mwenye Mamlaka na mama ana Madaraka Ndio kusema Mawaziri wanaplay role ya Umama
Credit: Chomoza ya Clouds tv
Nawatakieni Dominica njema π
Watanzania aisee! Huo ni mkakati wa kichama kumtangaza Samia kwa watanzania ili ajulikane. Before nani alimjua hata wanaccm baadhi walimjulia kwenye mgongo wa JPMWateule wa Rais wanakopeshwa Madaraka ya usimamizi tu lakini Mamlaka yote Yako Kwa Rais wa JMT
Hivyo ni Sahihi Kabisa kila Waziri anaposimama bungeni kumsifia na kumshukuru Rais Kwa kazi njema zilizofanywa wizarani
Dr Elly ametoa somo zuri sana kuhusu tofauti ya Mamlaka na Madaraka na amesema hata nyumbani Baba ndiye Mwenye Mamlaka na mama ana Madaraka Ndio kusema Mawaziri wanaplay role ya Umama
Credit: Chomoza ya Clouds tv
Nawatakieni Dominica njema π
Ni utamaduni mpya,, ambao nina hakika ni mbaya unaohafifisha fikra pevu. Wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa mpaka Kikwete, watu walisema serikali imefanya, lakini ghafla kwa jiwe, Magufuli watu wakaanza ibada kwa Magufuli na kwa Samia imepitiliza zaidi. Kama ni Rais tu amefanya kodi zetu zina kazi gani, na watumishi wanapokea pesa bila kufanya lolote kwa vile Samia ndiye tu anafanya ????? !!!!!!!!! Mwafrica ni ugonjwa. Sifa zingine hata Samia akisikia anashangaa.Wateule wa Rais wanakopeshwa Madaraka ya usimamizi tu lakini Mamlaka yote Yako Kwa Rais wa JMT
Hivyo ni Sahihi Kabisa kila Waziri anaposimama bungeni kumsifia na kumshukuru Rais Kwa kazi njema zilizofanywa wizarani
Dr Elly ametoa somo zuri sana kuhusu tofauti ya Mamlaka na Madaraka na amesema hata nyumbani Baba ndiye Mwenye Mamlaka na mama ana Madaraka Ndio kusema Mawaziri wanaplay role ya Umama
Credit: Chomoza ya Clouds tv
Nawatakieni Dominica njema π
Mwanadamu anapenda sifa ila Mwafrica ni mlevi kabisa wa sifa na analazimisha kusifiwa.Mbona Mwenyewe hakatai kama siyo kweli. Au ni kwa nini habatitishi au kukemea.