Ni sahihi kila wanachofanya kije kwenye media?

Pumzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Posts
321
Reaction score
55
Huwa najiuliza sana kwa hawa watu kwanini wanapenda sana kila wanachofanya kije kwenye media. LE MUTUZ huyu jamaa kila anachofanya lazima aweke kwenye media. Mara nimefungua ofisi mara leo nafanya hiv mara vile. Hivi kila star kama unavyojiita wewe akiwa anafanya mambo yake na kuweka kwenye media si kuna kipindi mitandao ita stack?

DIAMOND: Huyu jamaa nae anapenda sana media, yani mpaka kero, yani akiwa chumbani na partner wake picha, akiwa stejin picha, safarin picha. Sasa hivi mke wake kapata mimba ndio utacheka mara anapost mimba ile mara mnauliza watu eti mtoto atazaliwa A au B!

Mbona mastar weng wake zao wana mimba na hawaonyesh hizo show off mpaka mtoto anapozaliwa?

BADILIKENI!
 
sifa za kijinga eti wenyewe wanaona wanakuza jina eti wasije wakapotea
 
Kama wangekuwa wanaleta na kuambulia comment 0 na view 2 wasingeendelea kuleta....sasa kila wakileta mnajaza comment na view...hata ningekuwa mimi ningenogewa kuleta.
 
Kama wangekuwa wanaleta na kuambulia comment 0 na view 2 wasingeendelea kuleta....sasa kila wakileta mnajaza comment na view...hata ningekuwa mimi ningenogewa kuleta.

nimekuelewa sn mkuu
 
Ila mie sipendi mwanaume mwenye MASIFA ya kijinga, narudia tena kupumua hewa chafu mbele ya diamond ni sawa na kupumua mbele ya mic radion.
 
Kama wangekuwa wanaleta na kuambulia comment 0 na view 2 wasingeendelea kuleta....sasa kila wakileta mnajaza comment na view...hata ningekuwa mimi ningenogewa kuleta.
Exactly my thought!
 
Ila mie sipendi mwanaume mwenye MASIFA ya kijinga, narudia tena kupumua hewa chafu mbele ya diamond ni sawa na kupumua mbele ya mic radion.

duh hiko deep sn
 
Kama wangekuwa wanaleta na kuambulia comment 0 na view 2 wasingeendelea kuleta....sasa kila wakileta mnajaza comment na view...hata ningekuwa mimi ningenogewa kuleta.

Kama inaleta hela then ina-make sense.
 
Celebrities forum ndo utafikiri anamiliki Diamond,Zari,Wema celebrities wengine hawapo,panueni mawazo.
 
Usiwafuatilie na habari zao zipotezee.
 
Wanajiona masupastaa kwa kuanika maisha yao binafsi badala ya kazi zao za kisanii.Tena hawajui wafuatiliaji wa mambo yao ni wale wasio na majukumu wala mipango ya baadaye.

Ebu angalia wanao vaa tshirt za wasanii/hao,utaelewa ninacho andika
 
Kama wangekuwa wanaleta na kuambulia comment 0 na view 2 wasingeendelea kuleta....sasa kila wakileta mnajaza comment na view...hata ningekuwa mimi ningenogewa kuleta.

umenena like everything, kwa kifupi watu wanapenda tena sana, manake kama kuna nyota mwenye views nyingi na comments kwe.ye post zao diamond anaongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…