Pumzi
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 321
- 55
Huwa najiuliza sana kwa hawa watu kwanini wanapenda sana kila wanachofanya kije kwenye media. LE MUTUZ huyu jamaa kila anachofanya lazima aweke kwenye media. Mara nimefungua ofisi mara leo nafanya hiv mara vile. Hivi kila star kama unavyojiita wewe akiwa anafanya mambo yake na kuweka kwenye media si kuna kipindi mitandao ita stack?
DIAMOND: Huyu jamaa nae anapenda sana media, yani mpaka kero, yani akiwa chumbani na partner wake picha, akiwa stejin picha, safarin picha. Sasa hivi mke wake kapata mimba ndio utacheka mara anapost mimba ile mara mnauliza watu eti mtoto atazaliwa A au B!
Mbona mastar weng wake zao wana mimba na hawaonyesh hizo show off mpaka mtoto anapozaliwa?
BADILIKENI!