Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Noted.......hapo bana hata pad nafitisha tu kwa pant kwani nin banaa....si ndo inamfurahisha na mi sikatiki vidole
Nashangaa wengine wanaona tabu. . .eti inashusha hadhi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noted.......hapo bana hata pad nafitisha tu kwa pant kwani nin banaa....si ndo inamfurahisha na mi sikatiki vidole
Yummy yummy
Yummy yummy
Kama nataka nini? K? Kwani ukikosa K utakufa? Na K zilivyojaa hivyo yaani tuanze kutishiana mambo ya kunyimana? Hakuna hiyo...man laws lazima zizingatiwe, ziheshimiwe, na zifuatwe.
Kwa hilo nakubali ila mh inataka moyo kiasi....sema sio kawaida sana na inashusha hadhi kidogo kwa mwanaume
Dah...yupo serious kabisa! Maeneo ya ohio st. haya.Boflo hiyo hapana labda hii
View attachment 54098
Bora hii kuliko hiyo aiseee
Unamwona BAGAH alivyopendeza?
Kiranga, hatujaona picha mkuu...
Huyu mwanamme atakuwa ni Boflo tu hahahahahh nimecheka sana leo Boflo hujambo lakini? lakini ndio mapenzi poa tu.Please discuss..........
˙ɐʇnʞıuɐɥsɐʎ nuǝzuǝʍɯ nqɐqɐs ɐʍʞ ɐzıןnɐu
View attachment 54095
Dah...yupo serious kabisa! Maeneo ya ohio st. haya.
Hadhi ya mwanaume inashuka???? Kwa kubeba pochi......unless it is a culture bound....otherwise in the coca cola era......hadhi ipo kwingine kabisaaaa....