Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Habari za jumapili wadau!
Binafsi nimekuwa mpenzi sana wa mtindi wa kampuni ya asas! Siku kadhaa hapa nyuma nilikutana mtindi ambao ulikuwa na harufu mbaya sana, binafs nikawa nahisi uenda humu kwenye maduka friji huwa wanazima labda ndiyo maana inaharibika.
Niliwaambia wauzaji kuwa mtindi imeharibika,ya siku kadhaa hapo nyuma! Ila wala sikutaka fidiabcos biashara zenyewe za faida tsh 100 sio za kudai tena, mtindi wa mwisho kati ya ile iliyokuwa mibaya kabisa nikaangalia expire date nakuta bado mwezi mmoja, nikasema uenda ndiyo sababu! Kufungua ngoma bado imeharibika!
Majuzi nikanunua mwingine! Nafungua fresh hauna tatizo, nimeangalia mda wa expire bado mwezi mmoja! Nikamuuliza wa dukani asbh yake, akanimbia mzigo upya ameupata kwa jana yake! Sasa hapa nilipo najiuliza hasa hawa mamlaka ya dawa na chakula (TMDA) Je, ni sahihi kuingiza sokoni bidhaa iliyobakisha mwezi mmoja kwa matumizi?
Kwenu watalaam.