SnowBall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,052
- 2,842
Poleni na mfungo kwa wale waislam!
WanaJamvi..ni kawaida katika Mahusiano ya Mapenzi kuwa na rabsha za hapa na pale. Na mara nyngi rabsha hizi huwa zinatokana na hisia za uwepo wa udanganyifu katika Mapenzi (Cheating). Mara nyingi kumekuwa na hatua nyingi ambazo wanaNDOA ama wapendanao huchukua kulinda mapenzi yao pale inapohiswa kuwa mmojawapo sio mwaminifu. Mojawapo ni ile ya ku'attack the other side'!
Mfano..inakuwaje wewe mwanaume um'attack' mwanaume mwenzio kwa sababu tu umesikia anamtongoza au anatembea na mtu wako? wakt mwingine hadi na vitisho vya kuwaua tunawapa. Alikadhalika wewe mwanamke kwa nini na wewe um'attack' mwanamke mwenzio kwa vile umesikia anatongozwa au anatoka na mtu wako??..Kwa nini tuwe na mtazamo wa kuwaona wenzi wetu kuwa they are 'innocent' ispokuwa.. they are put in bad ways by others?
Je, ni sahihi kuwa na mtazamo huu wa kudhani 'wenzi wetu hawana makosa..bali wenye makosa ni wale wanaowafuata'?. Hebu tusaidiane hapa wanajamvi ni kwa mazingira gani tuapply hii theory na yepi tusiiapply??