K Kudoba wepo baaah Senior Member Joined May 12, 2024 Posts 155 Reaction score 461 May 14, 2024 #1 Mwezi wa pili mke anajifungua na mtoto kufariki, mwezi wa nne mke anapata mimba nyingine. Ni sahihi wadau kiafya na kisaikolojia ya mke? Karibuni wadau kwa elimu.
Mwezi wa pili mke anajifungua na mtoto kufariki, mwezi wa nne mke anapata mimba nyingine. Ni sahihi wadau kiafya na kisaikolojia ya mke? Karibuni wadau kwa elimu.