Ni sahihi kumpa mtoto mchanga maziwa ya kopo badala ya kumnyonyesha maziwa ya mama?

Liobite

Senior Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
126
Reaction score
37
Naombeni ushauri,
Mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa mwezi mmoja ila mama wa mtoto anakosa muda wa kumnyonyesha kwa sababu muda mwingine anakuwa kwenye vipindi (lectures).

Sasa je, ni salama kiafya kumpa mtoto maziwa mfano (Lactogen 1) tofauti na ya mama kwa muda ambao mtoto atakosa kunyonya?.
 
Malnutrition detected!! Lecture>>mtoto wa kumzaa[emoji134][emoji134]
 
Si ayakamue hayo yake?hata ya kopo hayana shida mazuri ni s26
 
Bora ya kopo kuliko ya ng'ombe,maana ya ng'ombe yana madini ya chuma kwa kiasi kidogo sana
 
Mtoto anapaswa kupata Exclusive breast feeding for six months baada ya hapo anaweza fanya weaning. Si sahihi kumpa mtoto mchanga maziwa ya kopo unless mama yake labda kalazwa ICU kwa mda mrefu au hayupo duniani. Kama mama yuko busy sana anaweza express milk akaacha kwenye bottle akanyweshwa na anayemsaidia kulea mtoto.
 
labda kama uchumi hauruhusu,maziwa ya kopo yana viturubisho sawa na ya mama.sina uhakika though..........lol
 
Bora ya kopo kuliko ya ng'ombe,maana ya ng'ombe yana madini ya chuma kwa kiasi kidogo sana
Digestive system ya mtoto imeandaliwa kwa maziwa ya mama na si ya ng'ombe. Maziwa ya kopo hushauriwa pale ambapo mama hayupo duniani ama kalazwa ICU mda mrefu au kapata pueperal psychosis inayoweza pelekea mdhuru mtoto
 
labda kama uchumi hauruhusu,maziwa ya kopo yana viturubisho sawa na ya mama.sina uhakika though..........lol
WHO inashauri Exclusive breast feeding for six months. Maziwa ya kopo hayawezi fanana sawasawa kabisa na maziwa ya mama.
 
sio sahihi ni hawa tu mademu wasiku hizi wanataka wajifungue kwa operation k ziendelee kubana,na hawataki maziwa yao yawe lapa kwa kunyonyesha,ila ni kwamba huwa ni ulimbukeni maziwa ya mamani very powerfullukilinganisha na ya chupa
 
Ni kutomtendea haki mtoto kumpa maziwa ya kopo Kwa kudhani matiti yatakuwa ndala. Changes kwa mwanamke haziepukiki
 
WHO inashauri Exclusive breast feeding for six months. Maziwa ya kopo hayawezi fanana sawasawa kabisa na maziwa ya mama.

mmmnh labda uwe specific maziwa ya kopo yanakosa nini kulinganisha na maziwa ya mama?????
 
Mkuu umesahau Na sababu nyengine ya kutumia kopo kunyonyesha ni ni mama mzazi kua Na VVU
 
Kwann huyo mtoto asiwe naakili za Ng'ombe +mihogo yaliyoko kwenye hayo makopo yenu ??.

Kwan mama asi freeze mwaka huu ,abaki at least alee mtoto ,mwakan aendelee ????.

Tatizo lawabongo ,, tunakujaga kujutia wakat ambao yupo ktk point of no return.... ELIMU IPO TUUUUU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…