Liobite
Senior Member
- Sep 10, 2013
- 126
- 37
Naombeni ushauri,
Mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa mwezi mmoja ila mama wa mtoto anakosa muda wa kumnyonyesha kwa sababu muda mwingine anakuwa kwenye vipindi (lectures).
Sasa je, ni salama kiafya kumpa mtoto maziwa mfano (Lactogen 1) tofauti na ya mama kwa muda ambao mtoto atakosa kunyonya?.