Ni sahihi kumpa mtoto mchanga maziwa ya kopo badala ya kumnyonyesha maziwa ya mama?

Wenye uchungu na watoto hufanya hivyo
 
ulimbukeni tuu
Wanawake wanadanganywa mno! Kujifungua kwa operesheni bila indication ni maamuzi ya hovyo. Unakuta operation imefanyika eti sababu ni maternal request!! WHO inashauri 'avoid unnecessary caesarian sections'. Nyie wamama mnategea sisi tutakataa kuwapiga visu mkiomba? Nani hataki pesa? Lakini tambueni kuwa athari za operation ni mbaya zaidi kuliko hizo faida mnazodanganyana.
 
labda kama uchumi hauruhusu,maziwa ya kopo yana viturubisho sawa na ya mama.sina uhakika though..........lol
Una hakika na uandaaji wake,gharama zake pia? Ni vyema kujua hali hizo ili kuweza kumshauri vizuri maana tatizo linaweza kutokea kati ya hayo na kupelekea mtoto kupata utapiamlo
 
Hahaaaaaa unaambiwa Turkey asilimia 70+ wana opt C/ S nilishangaa sana mpaka WHO iliwaambia ni hatari
 
Una hakika na uandaaji wake,gharama zake pia? Ni vyema kujua hali hizo ili kuweza kumshauri vizuri maana tatizo linaweza kutokea kati ya hayo na kupelekea mtoto kupata utapiamlo

labda niwe specific,mie siongelei maziwa ya ng'ombe,naongelea ya kopo,watatengeneza yasio na virutubisho vinavyomfaa mtoto,ili iweje???
 
Yeah, hakuna bond kwa maziwa ya kopo. Nyonyesheni watoto

bond ipo,nimekuuliza mbona baba wa mtoto hanyonyeshi,ina maana mtoto anakosa bond kwa baba yake????kitendo cha kua karibu na mwanao ndio bond,sio kunyonyesha,get it right.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…