Mechanist
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 724
- 494
Muhimu mtoto apate breast milk haijalishi ni by expressing au sucklingMaziwa ya mama ni better. Itamwongezea mtoto kinga ya magonjwa na kumwondolea uwezekano mkubwa wa kupata magonjwa mbalimbali kama infection ya masikio, meningitis, kuharisha, respiratory infections, obesity, asthma and so on.
Ila mwisho wa siku ni nyie wenyewe muamue. So far kuna njia nyingi za kuhakikisha mtoto anapata maziwa ya mama hata kama mama yuko busy, mfano rahisi ni pumping. Tafuta pump mama akamue maziwa yahifadhiwe kwa usafi mzuri then mtoto apewe