Ni sahihi kumpa mtoto mchanga maziwa ya kopo badala ya kumnyonyesha maziwa ya mama?

Ni sahihi kumpa mtoto mchanga maziwa ya kopo badala ya kumnyonyesha maziwa ya mama?

Maziwa ya mama ni better. Itamwongezea mtoto kinga ya magonjwa na kumwondolea uwezekano mkubwa wa kupata magonjwa mbalimbali kama infection ya masikio, meningitis, kuharisha, respiratory infections, obesity, asthma and so on.

Ila mwisho wa siku ni nyie wenyewe muamue. So far kuna njia nyingi za kuhakikisha mtoto anapata maziwa ya mama hata kama mama yuko busy, mfano rahisi ni pumping. Tafuta pump mama akamue maziwa yahifadhiwe kwa usafi mzuri then mtoto apewe
Muhimu mtoto apate breast milk haijalishi ni by expressing au suckling
 
ni la mwaka 47,nimeona watoto wanakua na maziwa ya kopo,sikushangai lakini,kama hujaona hili likitendeka utabisha mpaka kufa,jumapili njema mkuu.
Maziwa ya kopo yanashauriwa tu kwa sababu nilizozieleza hapo kabla. Mama kama huna shida yoyote ambayo itaathiri afya ya mtoto unapaswa kunyonyesha. Mama maziwa unayo na hutaki kunyonyesha utakuwa hauko sawa kichwani
 
naomba ulitafutie utafiti afu ndio uje kushauri,mkuu hujachelewa,lol
 
Wife inabid a postpone chuo mapema sana. Uzazi na shule wapi na wapi
 
unakosea mkuu au ni nido ipi?
Kuna nido imejispecify kua ni kwa ajili ya watoto, ina maandishi makubwa ya Vitamin A, B na C na neno Calcium.

Labda nikirudi nyumbani nilisome upya kopo.
 
Akichanganya kuna shida gani?
digestive canal ya mtoto si imara, inajitahidi ku'adapt vyakula vinavyopita kwa shida, hivyo kumchanganyishia vyakula inaleta shinda ya kukimeng'enya na zaidi sana mtoto anaweza akaanza kuharisha na utumbo kukwanguka. hivyo ni vyema kuchagua aina moja tu ya maziwa katika umri huo miaka afikishe miezi 6
 
Ndo tabia ya Wadada warembo wa siku hizi, ndo chanzo cha kufanya watoto wawe na tabia za Ng'ombe na kwa kuwa hawawezi kuwa na balance ya akili za utu uzima wanavalishwa pampas cause wanajisaidia hovyo kama ng'ombe, kizazi hatari hiki, mtoto wa binadamu ila analelewa na ng'ombe...na uchunguzi nataka nianze soon, ukimuita mtoto anayekunywa maziwa ya ng'ombe moooh anaweza kusikia haraka kuliko kumuita totoo an etc
 
Mama anaweza akawa anakamua maziwa ndo mtoto akawa anatumia wakati yy anaendelea na majukumu yake kama atayatuza katika joto la kawaida yanauwezo wa kukaa 24hrs na kama atayahifadhi kwenye friji yatakaa 72hrs so ni safe kufanya hivi kuliko maziwa ya kopo ingawa lactagen 1 na S6 yana sifa zote zinazoendana na maziwa ya mama changamoto inakuja ubora wa hayo maziwa hususani hapa kibongo bongo wafanyabiashara wengi sio waaminifu, zingatia hili kwani kipindi cha miaka 5 cha ukuaji wa mtoto ni cha muhimi sana kwani ubongo ndo muda wake wa kujengeka na hapa ndo unaweza kutegeneza kilaza au geneuz
 
Naombeni ushauri,,,
mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa mwezi mmoja ila mama wa mtoto ana kosa muda wa kumnyonyesha kwa sababu muda mwingine anakuwa kwenye vipindi (lectures).Sasa je,ni salama kiafya kumpa mtoto maziwa mfano (Lactogen 1) tofauti na ya mama kwa muda ambao mtoto atakosa kunyonya?.
Kwanin asiyakamue na kuyaifadh vzur
 
Lactogen ili mzaa?
Msi mnyime mtoto haki yake eti kwaajili ya lecture.
A postpond alee arudi shule mtoto hawezi subiri Ila mama anaweza subiri.
Kunyonyesha kunafaida nyingi sana kwa mama na mtoto.
 
Maziwa ya kopo yanashauriwa tu kwa sababu nilizozieleza hapo kabla. Mama kama huna shida yoyote ambayo itaathiri afya ya mtoto unapaswa kunyonyesha. Mama maziwa unayo na hutaki kunyonyesha utakuwa hauko sawa kichwani
Wakat mwingine unaach watu waamin wanachoamini,ninapacha sasa wanamwaka na miez 3,nategemea kuwaachisha kunyony ila nikienda kwamadactar kuwauliz nimaziwa gan bora kuwap watoto wananiambia ya mbuzi au ng'ombe,japo weng hunishaur niwanyonyesh mpka mwaka na nusu
 
Naombeni ushauri,,,
mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa mwezi mmoja ila mama wa mtoto ana kosa muda wa kumnyonyesha kwa sababu muda mwingine anakuwa kwenye vipindi (lectures).Sasa je,ni salama kiafya kumpa mtoto maziwa mfano (Lactogen 1) tofauti na ya mama kwa muda ambao mtoto atakosa kunyonya?.
Kiafya maziwa ya mama ni mazuri zaidi kuliko maziwa ya kopo.
 
Back
Top Bottom