Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,725
- 21,818
Tuko wengi mbona.nakajua ka toto kalikolelewa na maziwa ya kopo,na kako bright darasani......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko wengi mbona.nakajua ka toto kalikolelewa na maziwa ya kopo,na kako bright darasani......
Duh !! Wewe ni doctor ?? Kila nikihudhuria semina naskia wataalamu wanasema maziwa ya mama ni far better thn maziwa ya kopolabda kama uchumi hauruhusu,maziwa ya kopo yana viturubisho sawa na ya mama.sina uhakika though..........lol
Asante sanaMechanist ni mvumilivu sana aisee utakua unahudumia vizuri sana wagonjwa wako ,..big up