Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kwakweli utandawazi wazi umeharibu mila na desturi zetu. Ni kawaida watoto kuangalia vipindi na sinema wanazopenda hata kuna wakati unakosa nafasi ya kuangalia taarifa ya habari.
Watoto kuwa na uhuru wa kuangalia vipindi vyao vyumbani mwao wanaupenda sana. Lakini pale mtoto anaposhindwa kupangilia muda wa masomo na kuwa kwenye TV muda wote si mzazi unaweza kujilaumu kama akifeli masomo.
Nilibahatika wa kwangu mimi alikuwa na TV chumbani kwake lakini alishajipangia muda na kuangalia ni Jumapili tu. Alifanikiwa kupata division one. Wadogo zake siamini kama watakuwa na discipline kama ya kaka yao.