Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Wazo zuriTV chumbani ya nini, angalie nini ambacho atashindwa kukiangalia sebuleni. Kwa jinsi ratiba za shule zilivyo kaa sidhani kama atakuwa na muda wa TV.
Chumbani mjengee kabati la vitabu vya shule na hadithi mbalimbi.