Ni sahihi kumuwekea “teenager” TV chumbani kwake?

TV chumbani ya nini, angalie nini ambacho atashindwa kukiangalia sebuleni. Kwa jinsi ratiba za shule zilivyo kaa sidhani kama atakuwa na muda wa TV.
Chumbani mjengee kabati la vitabu vya shule na hadithi mbalimbi.
Wazo zuri
 
Nitajie msomi mkubwa anaetokea mjini kati palipo na mativi ndani mwa vyumba vya watoto, ma dr,prof,eng wengi hutoka kusiko hata na radio,,sikia wakifa wanazikwa kwao wapi
Wapo wengi sana ila ni wewe tu huwezi kuwajua maana na wewe unatoka kusiko hata redio.
Sio kwa ubaya ni mfano hai tu.
 
Duh upo deep
 
Mzee unapenda sana ebony porn. Umeenda mulemule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…