Ni sahihi kumwambia mpenzi au mke wako kuwa hakuridhishi?

Ni sahihi kumwambia mpenzi au mke wako kuwa hakuridhishi?

Sasa usipomwambia yeye unataka ukamwambie nani? Ila tu isiwe kwa namna ya kumfedhehesha.
 
We komaa nae tu, unaeza enda kwingine ukakuta majanga zaidi ya hayo sasa
 
Wakuu naomba tusaidiane.

Unawezaje kufikisha ujumbe kwa mapenzi wako au mkeo kuwa hakulidhishi?

Je, ni sahii kumwambia direct au Kuna njia ya kufikisha ujumbe huu kwa wepesi?

Je, ni sahii kujinyima raha ya kulidhishwa kimapenzi kwa kigezo cha kuitwa mwaminifu na mwenye msimamo?

Karibuni

Swali lako ni kwa ajili ya mke au mpenzi, na wewe ni mume au mke?
 
Anakuridhisha. Shida ni kwamba ume-sex na wanawake wengi sana na umefanyiwa uchafu wa kila aina plus pornography hivyo unafanya analysis za kizinzi tupu. How comes mwanaume usiridhike kama siyo kuathirika?Wanaume mnaridhika kwa urahisi sana maana you guys need not to be prepared like women. Nyie kuridhika kwenu ni kumwaga tu.

This is a key question?ukisex na mkeo huwa humwagi? Umeachiwa mwili wote uufanye utakavyo yet unasema huridhishwi? Premarital sex na michepuko imewaharibu sana. Sijui mnataka nini
Hahahahahahah, you're right njoo inbox tufahamiane mpendwa umekuwa na majibu ya moja kwa moja bila kipepesa macho japo nahisi yeye aliambiwa na mpenzi wake mwanamke
 
Si ulioa mchaga??sasa unataka nini tena?vipi usharudi ukweni?
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Mwambie na umuelezee nini unataka ili akuridhishe kimapenzi.

Back
Top Bottom