Ni sahihi kumwambia mpenzi au mke wako kuwa hakuridhishi?

Sasa usipomwambia yeye unataka ukamwambie nani? Ila tu isiwe kwa namna ya kumfedhehesha.
 
We komaa nae tu, unaeza enda kwingine ukakuta majanga zaidi ya hayo sasa
 

Swali lako ni kwa ajili ya mke au mpenzi, na wewe ni mume au mke?
 
Hahahahahahah, you're right njoo inbox tufahamiane mpendwa umekuwa na majibu ya moja kwa moja bila kipepesa macho japo nahisi yeye aliambiwa na mpenzi wake mwanamke
 
Si ulioa mchaga??sasa unataka nini tena?vipi usharudi ukweni?
 
Reactions: BAK
Mwambie na umuelezee nini unataka ili akuridhishe kimapenzi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…