F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Dec 12, 2023 #1 Habari wadau. Vijana wanasema talaka ya malaya ni makofi. Je wapo sahihi Nimeona tik tok vijana wanaimba na kucheza kwamba Talaka ya malaya ni makofi Your browser is not able to display this video.
Habari wadau. Vijana wanasema talaka ya malaya ni makofi. Je wapo sahihi Nimeona tik tok vijana wanaimba na kucheza kwamba Talaka ya malaya ni makofi Your browser is not able to display this video.
Farey_King JF-Expert Member Joined Feb 22, 2023 Posts 461 Reaction score 838 Dec 12, 2023 #2 FRESHMAN said: Habari wadau. Vijana wanasema talaka ya malaya ni makofi. Je wapo sahihi Nimeona tik tok vijana wanaimba na kucheza kwamba Talaka ya malaya ni makofi Click to expand... Kwani wewe unaonaje..? Sio kila kitu mpaka uulize mtu mzima,hicho kinachokupa wasiwasi ndio akili
FRESHMAN said: Habari wadau. Vijana wanasema talaka ya malaya ni makofi. Je wapo sahihi Nimeona tik tok vijana wanaimba na kucheza kwamba Talaka ya malaya ni makofi Click to expand... Kwani wewe unaonaje..? Sio kila kitu mpaka uulize mtu mzima,hicho kinachokupa wasiwasi ndio akili
V Vito Corleone JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 2,418 Reaction score 5,257 Dec 12, 2023 #3 Anayechukua Malaya ndio apigwe makofi,ova
Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Dec 12, 2023 #4 Tuanze nawewe kwanza. Kwani wewe unaonaje? KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 24,262 Reaction score 58,728 Dec 12, 2023 #5 Ya Nini mtoane ngeu na kutoana damu kisa mapenzi 😂🤣
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,099 Reaction score 25,347 Dec 12, 2023 #6 Hata bila makofi mnaweza kuachana kwa Amani tu.
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Dec 12, 2023 Thread starter #7 Charles kilian said: Ya Nini mtoane ngeu na kutoana damu kisa mapenzi 😂🤣 Click to expand... Vijana wanasema Malaya hapewi talaka kwa mfumo wa negotiation
Charles kilian said: Ya Nini mtoane ngeu na kutoana damu kisa mapenzi 😂🤣 Click to expand... Vijana wanasema Malaya hapewi talaka kwa mfumo wa negotiation