GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Kwann ? Weka na sababu?Haifai Jamani kila kitu lazima kitenganishwe
1.Sabuni ya Jikoni pekee
2.Sabuni ya kuogea pekee
3.Sabuni ya mtoto pekee.
4.Sabuni ya kufulia inaweza kuogewa.
Siyo kila sabuni unajua wadudu!Shida nini? Kama wadudu hawafi basi hakuna ulazima wa kutumia sabuni
Kuongea?Nimelishuhidia zaidi ya mara moja katika sehemu tofauti!
Kipande kimoja cha sabuni kinatumika kwa matumizi zaidi ya moja:
1. Kuoshea vyombo vya kupikia
2. Kuoshea vyombo vya chakula
3. Kuoshea vyombo vya kunywea maji
4. Kunawia mikono kabla na baada ya kula
5. Kuogea.
Kwa sababu sabuni iyo hiyo inatumika kwa matumizi yote hayo, kuoshea vyombo vya chakula na kuogea, ni kawaida kuikuta ikiwa na tunywele, hivyo muosha vyombo asipokuwa makini, unaweza kukutana na tunywele tudogo kwenye vyombo vya chakula.
Hilo limekuwa likinipa ukakasi.
Wengine mnalionaje? Ni kawaida au ni tabia ya uchafu?
Sasa unatumiaje sabuni ya hivyo? Sabuni chanzo Cha kuenea magonjwa? Uliona wapi? Na bado unaitumia? Kwetu sabuni moja kwa familia nzimaSiyo kila sabuni unajua wadudu!
Ukishea sabuni ya kuogea na mtu mwenye magonjwa ya ngozi anaweza kukuambukiza. Kama hali iko hivyo kwa sabuni za kuogea, huoni kuwa ni hatari zaidi kwa sabuni iliyotumika kuogea kutumika kuoshea vyombo vya chakula?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sabuni haielewi inapiga kazi tu, sijui mambo ya bafuni, chooni ,vyombo huo uhusika umeipa wewe.
Yenyewe inachojua ni kupiga kazi tu.
Karibu tupige vyombo hapa[emoji1635]
Huwa sishei sabuni na mtu mwingine tofauti na mwenza wanguSasa unatumiaje sabuni ya hivyo? Sabuni chanzo Cha kuenea magonjwa? Uliona wapi? Na bado unaitumia? Kwetu sabuni moja kwa familia nzima
Umasikini hauna uchaguzi wala kutenganisha.Nimelishuhidia zaidi ya mara moja katika sehemu tofauti!
Kipande kimoja cha sabuni kinatumika kwa matumizi zaidi ya moja:
1. Kuoshea vyombo vya kupikia
2. Kuoshea vyombo vya chakula
3. Kuoshea vyombo vya kunywea maji
4. Kunawia mikono kabla na baada ya kula
5. Kuogea.
Kwa sababu sabuni iyo hiyo inatumika kwa matumizi yote hayo, kuoshea vyombo vya chakula na kuogea, ni kawaida kuikuta ikiwa na tunywele, hivyo muosha vyombo asipokuwa makini, unaweza kukutana na tunywele tudogo kwenye vyombo vya chakula.
Hilo limekuwa likinipa ukakasi.
Wengine mnalionaje? Ni kawaida au ni tabia ya uchafu?
Kitu hatari hapo siyo sabuni, tuilaumu mikono inayoosha mwili na inaosha vyomboNimelishuhidia zaidi ya mara moja katika sehemu tofauti!
Kipande kimoja cha sabuni kinatumika kwa matumizi zaidi ya moja:
1. Kuoshea vyombo vya kupikia
2. Kuoshea vyombo vya chakula
3. Kuoshea vyombo vya kunywea maji
4. Kunawia mikono kabla na baada ya kula
5. Kuogea.
Kwa sababu sabuni iyo hiyo inatumika kwa matumizi yote hayo, kuoshea vyombo vya chakula na kuogea, ni kawaida kuikuta ikiwa na tunywele, hivyo muosha vyombo asipokuwa makini, unaweza kukutana na tunywele tudogo kwenye vyombo vya chakula.
Hilo limekuwa likinipa ukakasi.
Wengine mnalionaje? Ni kawaida au ni tabia ya uchafu?
Hapana kuna sabuni za kuogea haziwezi kuosha vyombo.Sabuni haielewi inapiga kazi tu, sijui mambo ya bafuni, chooni ,vyombo huo uhusika umeipa wewe.
Yenyewe inachojua ni kupiga kazi tu.
Karibu tupige vyombo hapa🥂