Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Mkuu, ungeweza kutofautisha mapambano ya Gaidu na mapambano ya Uhuru/Haki.... nafikiri usinge jiukiza maswali haya.Upo vitani. Unapigania "uhuru" au "Haki" yako. Adui unayepambana naye ni mwenye nguvu sana. Ukisema upambane naye hummudu. Ni sahihi kutumia ugaidi kupambana naye. Hapa ugaidi namaanisha kupiga watu na vitu vyake visivyo vya kijeshi? All is fair in war?
Ulitaka Hamas wafanye Nini Oct 7?Upo vitani. Unapigania "uhuru" au "Haki" yako. Adui unayepambana naye ni mwenye nguvu sana. Ukisema upambane naye hummudu. Ni sahihi kutumia ugaidi kupambana naye. Hapa ugaidi namaanisha kupiga watu na vitu vyake visivyo vya kijeshi? All is fair in war?
Haki na Uhuru ni subjectives ndiyo maana nimeweka ""Mkuu, ungeweza kutofautisha mapambano ya Gaidu na mapambano ya Uhuru/Haki.... nafikiri usinge jiukiza maswali haya.