Ni sahihi kuvaa kandambili au kobazi kwenye public?

Huu ni ujinga, kupangiana namna ya kuishi. siku moja nimevaa kandambili nikashuka kula sehemu flani wote wananiona kama nimedata.

nikaona hawa ushamba mwingi.kupangiana namna ya kuishi
 
Msije mjini kaeni huko huko banana kitunda
Punguza ufala pia, huko mjini ndiyo wengine tumekulia. Kama umehamia ukapaona ni dili hadi ujitangaze hapa unavaa viatu huko juu, tunakuona kituko fulani hivi.

Haya tueleze hivyo viatu vinavyokutia jeuri umenunua soko gani? Mchikichini? Karume? Kariakoo shimoni, Tandika jirani na kituo cha polisi kulipokuwa na stendi ya magari ya Buza.
 
ukikutana na mzungu kazivaa na hili joto ni fashion ni poa ni sawa sawa na kitu cha kawaida ila akivaa mswahili mwenzako inakua tabu
 
ukikutana na mzungu kazivaa na hili joto ni fashion ni poa ni sawa sawa na kitu cha kawaida ila akivaa mswahili mwenzako inakua tabu
Mzungu gani anavaa niliyekutana naye mimi nikaona poa?! Msiige kila kitu.
 
Hahaha unafanana na James Delicious inawezekana kweli.
 
Kama huko ndiko unanunua vaa sasa
 


Wengine tuna fungus baba... Tukivaa viatu miguu inawasha sana aisee....
 
Hahaha kwani bei ya kandambili ina halalisha uchafu?! Hata zingeuzwa laki sioni usahihi wa hili. Joto gani hilo kuna watu nitabia zao tu. Kwani ukivaa kandambili joto linaisha?! Utetezi huu siukubali
Labda mwenzetu ungeweka na picha tukuelewe maana unafarakana na nafsi bila sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini unalazimisha kila mtu afanane na wewew.? Mbona hata wewe una vitu ambavyo havikubaliki kwa wengi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…