Ni sahihi kuweka sukari kwenye mtindi?

Ni sahihi kuweka sukari kwenye mtindi?

Kelela

Senior Member
Joined
Nov 7, 2020
Posts
191
Reaction score
308
Nimekuwa na katabia nikinunua mtindi huwa naweka na sukari ili kupunguza uchachu, je hii ni sahihi au inaweza kusababisha kupoteza virutubisho vya mtindi?
 
Nafikiri ya kiwandani hasa Tanga Fresh machachu sana.

Lakini mimi nikigandisha mwenyewe huwa siweki sukari ni matamu sana.
 
Back
Top Bottom