Ni sahihi kuweka sukari kwenye mtindi?

Ni sahihi kuweka sukari kwenye mtindi?

Inategemea NTU na NTU mimi napenda kuweka sukari na mtindi niupendao ni ule plain.
Nimekuwa na katabia nikinunua mtindi huwa naweka na sukari ili kupunguza uchachu, je hii ni sahihi au inaweza kusababisha kupoteza virutubisho vya mtindi?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 

Ahsante sana amu naelewa hilo na siweki nyingi bali ni kijiko kimoja tu cha chai kwenye glass ya ujazo wa roughly lita moja.
Sukari si nzuri BAK binafsi najitahidi sana kuiepuka
 
Inategemea..
Binafsi siwezi Kunywa bila sukari
 
Nafikiri ya kiwandani hasa Tanga Fresh machachu sana.

Lakini mimi nikigandisha mwenyewe huwa siweki sukari ni matamu sana.

mbona Tanga fresh huwa ni matamu mkuu ,
 
Back
Top Bottom