Nimekuwa na katabia nikinunua mtindi huwa naweka na sukari ili kupunguza uchachu, je hii ni sahihi au inaweza kusababisha kupoteza virutubisho vya mtindi?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mi nauuza mkuu nipe orderz.Inategemea NTU na NTU mimi napenda kuweka sukari na mtindi niupendao ni ule plain.
Mzee baba we ni fan wa mtindi? Nipe order niwe nakuleteaOne day nitakuomba unigandishie lita tano
[emoji8]
Mi nauuza mkuu nipe orderz.
Familia si ipo au unaishi kibachelaWala sinunui mwingi kiasi hicho Mkuu bali wa hamu tu.
Nafikiri ya kiwandani hasa Tanga Fresh machachu sana.
Lakini mimi nikigandisha mwenyewe huwa siweki sukari ni matamu sana.