Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naombeni ushauri, ni sahihi kwa mtoto wa kike wa miezi mitatu kua na uzito wa kilo 7? ......
Asante sana kwa Ushauri.Kwa umri huo wa miezi mitatu mtoto anategemewa kuwa na uzito kati kilo 5 mpaka kilo 7.9. Hata hivyo kuna utofauti ambao hutokea kulingana na jinsia, uzito wa kuzaliwa na kasi ya ukuaji wa mtoto.
Ni muhimu ukampeleka kwa daktari ili apimwe huo uzito na kuweza kulinganishwa na urefu wake, umri wake na jinsia yake ili kuona kama vinaendana kwa uwiano unaotakiwa.
Kila la kheri.