Ni sahihi kwa mwanamke ambaye sio mchumba au mke wako kukaa kwako zaidi ya week mbili?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
U

Usingetakiwa kumlaza kwako hata siku moja,

Fungeni ndoa kwanza
 
na sii ndio mnavyoliwaga kiutan utan. maana mnasemaga oh james is so funny, he makes me laugh. mwishowe mpaka mbususu nayo inacheka [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
[emoji38][emoji38] unacheka mdomo, siyo mbususu aisee... Usipocheka hapa jf uchekee wapi ss?
 
Haya ndio madhara ya kuwa na mtu kwa kuendeshwa na matamanio ya ngono badala ya upendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…