Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,077
- 8,828
Kibaya zaidi hujapanga hata kumuoa kuweni na huruma, hapo ukitoka utamwambia malayaSijamfukuza kwa style hiyo nimemwelewesha kistaarabu kwamba kwanini tusiwe tunameet weekend kuliko life style hii
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Nampenda sana ila sijawa tayari kuishi naye ndo ukweli huo na siwezi ishi na mtu ambaye sijamtambulisha kwetuWewe ndiye ulimkaribisha na kumfungulia milango umemtumia umemchoka, thamani yake imekwisha unamtaka aondoke. Sisi tukikushauri utatuelewa ?
Hivi ndivyo good girls hutritiwa na wanaume sijui kwanini.....
Unaoa nini Sasa hapo?
Umejibu vyema, nawe nenda katende kwa hakiSitafurahi siwezi kumshauri binti yangu akae kwa mwanaume ambaye sio mmewe kwa zaidi ya siku moja kama hamna sababu ya msingi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hasije kuwa ni huyu mdada financial servicesKwa mujibu wake hana ndugu dar wazazi wake wako mbeya
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mzinzi tu huyu Hana loloteMkulungwa eeh! Umezingua mwana kwani wiki zote tatu hukufikiria hizo risk zote?
Wiki3 obvious umechoka same match same styles same pus...y
Sasa mbona ulikubali akae kwako hizo wiki mbili?Sitafurahi siwezi kumshauri binti yangu akae kwa mwanaume ambaye sio mmewe kwa zaidi ya siku moja kama hamna sababu ya msingi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Daah we acha tu unakuta kabati kaligawa upande wake na wakoMi aliongeza nguo na kuanza kununua baadhi ya vifaa vya jikoni kama kinu na flampeni
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mwanamke haonewi huruma... Ukimwonea mwanamke huruma jua umejichimbia kaburi lako mwenyewe...Tuwaoeni jamani hawa watoto wa kike sometimes nawaonea huruma sana hawa viumbe.
Embu suburi vip wewe ndoa huitaki? Hujui hata rafiki zake wewe ulimtoa wapi? Kwahiyo wiki mbili zote umemkula afu unataka sisi tukushauri vip? Wiki mbili unajilia vyako hajapata mimba?Habari zenu ndugu zangu.
Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuomdoka.
Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi.
Nilijitafakari nikaona nitake risk kwa sababu zifuatazo.
Simjui ndugu au rafiki yake yoyote.
Sijui anapoishi.
Ni mjasiriamali hana address.
Anaonekana kwa vyovyote vile anataka ndoa.
Nimefanya vibaya ndugu zangu?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Unalaani nini sasa hapo?Kitendo cha kulaani kabisa