Ni sahihi kwa mwanamke ambaye sio mchumba au mke wako kukaa kwako zaidi ya week mbili?

Ni sahihi kwa mwanamke ambaye sio mchumba au mke wako kukaa kwako zaidi ya week mbili?

Wewe ndiye ulimkaribisha na kumfungulia milango umemtumia umemchoka, thamani yake imekwisha unamtaka aondoke. Sisi tukikushauri utatuelewa ?
Nampenda sana ila sijawa tayari kuishi naye ndo ukweli huo na siwezi ishi na mtu ambaye sijamtambulisha kwetu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mmoja nilikutana naye hapa Makao makuu ya Serikali alikuwa anasoma chuo X. Nikawa nakula kisela akawa anakuja getto. Juzi kati nimegundua kuna nguo zake kibao ziko getto. Mbaya zaidi amemaliza chuo cha ajabu ameondoka hostel na begi lake amekuja getto. Jana nimemwambia anatakiwa kwenda kwa wazazi wake angalau kutoa mrejesho wa kumaliza chuo. Akitaka kurudi getto tutaongea lakini akaripoti kwanza kwao.

So jombaaa umefanya vyema.
 
Habari zenu ndugu zangu.

Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuomdoka.

Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi.

Nilijitafakari nikaona nitake risk kwa sababu zifuatazo.
Simjui ndugu au rafiki yake yoyote.

Sijui anapoishi.

Ni mjasiriamali hana address.

Anaonekana kwa vyovyote vile anataka ndoa.

Nimefanya vibaya ndugu zangu?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Embu suburi vip wewe ndoa huitaki? Hujui hata rafiki zake wewe ulimtoa wapi? Kwahiyo wiki mbili zote umemkula afu unataka sisi tukushauri vip? Wiki mbili unajilia vyako hajapata mimba?
 
Kitendo cha kulaani kabisa
Unalaani nini sasa hapo?

Ndoa ni makubaliano baina ya pande mbili, mtu mme aridhie na mtu mke aridhie na kuamua kuishi pamoja kwa upendo.

Ila hako kabaradhuli kamekuja na technique zake ili jamaa aingie kingi na Mwana kasanda.

Hivyo Maamuzi aliyochukua ni sahihi ila we jamaa ungekuwa mbeya ungeoa huyo mdada utake au usitake?
 
Back
Top Bottom