Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mwanaume kulala ukweni sio sahihi sana kama hakuna ishu ya kijamii (Sherehe,Msiba, Magonjwa).uzungumze kidogo kama ni sahihi kwa Mwanaume kwenda kulala ukweni
😂😂😂Kuna vijana kibao wanaishi ukweni hasa dsm na asubuhi wanafunga taulo kiunoni na kuswaki uwani kwa uhuru kabisa
Akifika huko analiwa na ex wake yule bwana mdogo msaga mashine wa Kijiji ambaye walisomaga darasa moja😀Binafsi nafikaga ukweni kwenye msiba tuu na usiwe wa mbali, sio amekufa shemeji yake baba mkwe, na penyewe tukizika tuu natembea zangu, sitakagi shobo. Harusi nyingi sitimbagi, anaendaga mwenye kwao. Mambo mengi namalizaga kwa kutuma mkono tuu.
Sio sahihi hata kidogo, labda itokee dharura .Wakuu
Katika jamii nyingi za Kiafrika, hasa katika mila na desturi za Kiswahili, kuna maadili yanayoongoza mahusiano kati ya mwanaume, mke na familia ya mke.
Wapo baadhi ya watu wanaona kuwa si sahihi kwa mwanaume kulala ukweni na wengine wanaona hakuna shida yoyote.
Tuzungumze kidogo kama ni sahihi kwa Mwanaume kwenda kulala ukweni
Unazungumzia kulala au kuishi ukweni?Wakuu
Katika jamii nyingi za Kiafrika, hasa katika mila na desturi za Kiswahili, kuna maadili yanayoongoza mahusiano kati ya mwanaume, mke na familia ya mke.
Wapo baadhi ya watu wanaona kuwa si sahihi kwa mwanaume kulala ukweni na wengine wanaona hakuna shida yoyote.
Tuzungumze kidogo kama ni sahihi kwa Mwanaume kwenda kulala ukweni
Unazungumzia kukala au kuishi ukweni?
Suala la kulala lina shida gani wakati ushakuwa mtoto mwenza wa hiyo familia?
Kama ni mume wa ndoa hakuna shida,analala tu,mradi iwe ni nyumba ambayo mkianza kunyanduana wakweze wasisikie miguno na msukosuko wa kitandaWakuu
Katika jamii nyingi za Kiafrika, hasa katika mila na desturi za Kiswahili, kuna maadili yanayoongoza mahusiano kati ya mwanaume, mke na familia ya mke.
Wapo baadhi ya watu wanaona kuwa si sahihi kwa mwanaume kulala ukweni na wengine wanaona hakuna shida yoyote.
Tuzungumze kidogo kama ni sahihi kwa Mwanaume kwenda kulala ukweni
Kwani kuna ulazima gani wa kutiana ukweni, kwanini msisubiri mkarudi tu kwenu!Kama ni mume wa ndoa hakuna shida,analala tu,mradi iwe ni nyumba ambayo mkianza kunyanduana wakweze wasisikie miguno na msukosuko wa kitanda
Kutiana ni sehemu ya ndoa na kwakuwa mmehalalishwa kutiana ni wajibu,hivyo kutiana ukweni ni muhimu na kuna ladha fulani ambayo mnapotiana ukweni unaipata na hata maongezi yenu wakati mnatiana yata akisi ukweli kwamba mnanyanduana ukweni,na hasa wewe mwanaume lugha yako wakati tendo linaendelea ni kumkumbusha mwenzio kuwa unamnyandua ukweni,naye mweza wako anakuitikia nyandua baba nyandua,maana hata wazazi wangu wanajua saa hizi unaninyanduaKwani kuna ulazima gani wa kutiana ukweni, kwanini msisubiri mkarudi tu kwenu!
Khaa mi siwezi aisee!Kutiana ni sehemu ya ndoa na kwakuwa mmehalalishwa kutiana ni wajibu,hivyo kutiana ukweni ni muhimu na kuna ladha fulani ambayo mnapotiana ukweni unaipata na hata maongezi yenu wakati mnatiana yata akisi ukweli kwamba mbanyanfuana ukweni