Ni sahihi kwa Mwanaume kwenda kulala ukweni?

Hakuna shida tatizo lipo kwenye mitazo ya wengine kama utakuwa mtu wa kujali watu wanasema nini
 
Kulala ni kawaida. Mfano mimi nikienda kusalimu kijijini, hupanga ratiba: usiku mmoja lazima nilale kwa wakwe. Hii ratiba hufahamika angalau miezi miwili kabla ya safari. Huu ni mwaka wa 15….ipo hivyo na itaendelea hivyo.
Hilo jambo halina shida yoyote.

Labda kama kuishi ama kukaribishwa kujenga kiwanja cha ukweni ili uishi na mkeo ndipo penye changamoto kwa mila zetu za Kiafrika.
 
Inategemea na aina ya ujenzi wa ukweni. Kama kuna nyumba ya wageni pembeni fresh.
 
Aisee 😂🤣🙌🙌imeshindikana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…