kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,511
- 4,369
Heri ya mwaka mpya wakuu!
Nina mchepuko wangu, kila akiona nywele zangu za huku state house zimekuwa kubwa,basi lazima achukue kifaa ananinyoa.binafsi huwa naona aibu sana kunyolewa mavuzi, so nashindwa kuelewa huu ni utaratibu wa kawaida katika mahusiano au me ndio nazeeka vibaya?
Asanteni