kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,511
- 4,369
Haya ndo madhara ya maisha kuwa magumu mtu anauliza swali kama vile hana ubongoSasa tukujibu nini???
Shemeji habari yako?He he sasa mkuu unaona aibu ya nini
Salama shemeji za weweShemeji habari yako?
Kwanza we me au ke, hapo kwenye kuona aibu ndio Mimi binafsi napata ukakasi.Heri ya mwaka mpya wakuu!
Nina mchepuko wangu,kila akiona nywele zangu za huku state house zimekuwa kubwa,basi lazima achukue kifaa ananinyoa.binafsi huwa naona aibu sana kunyolewa mavuzi, so nashindwa kuelewa huu ni utaratibu wa kawaida katika mahusiano au me ndio nazeeka vibaya?
Asanteni